ASKARI wa Umoja wa Mataifa wanaolinda amani nchini DR Congo
(MUNUSCO), wakiongozwa na vikosi vya Jeshi la Wananchi wa Tanzania
(JWTZ) vimefanya shambulizi la nguvu katika eneo la Kibati (Nyirangongo
Territory, Goma, Eastern DRC), eneo hilo ndiyo iliyokuwa ngome kuu ya
waasi wa M23
Shambulio hilo kubwa na la kwanza kufanywa na vikosi vya Umoja wa
Mataifa limekuja siku moja, baada ya
↧