MSANII wa Filamu Bongo,
Elizabeth Michael 'Lulu', usiku wa kuamkia leo amefanikisha zoezi la
uzinduzi wa filamu yake mpya inayokwenda kwa jina la Foolish Age .
Baada ya move hiyo kali ya dakika 120
iliyooesha ukali wa staa huyo kuoneshwa kwa dakika 20 tu na kubakisha
zingine 100 kusubiri wateja kuziona majumbani kwao alipanda jukwaani
kujitambulisha na kutoa shukrani
↧