MBIO za Mwenge wa Uhuru nusura ziahirishe shughuli za Bunge
baada ya baadhi ya wabunge kutaka zifutwe na hoja hiyo ijadiliwe
bungeni.
Hata hivyo, suala hilo liligeuka shubiri kwa Waziri wa Nchi, Ofisa ya
Rais (Utawala Bora), George Mkuchika, kuzomewa na kurushiwa maneno ya
kejeli alipojaribu kuzitetea mbio hizo.
Chanzo cha mzozo huo kilitokana na maswali ya mbunge wa Musoma
↧