Hatimaye teknolojia imefanikisha kuwakutanisha wazazi wa mshindi wa
Big Brother Afrika ‘The Chase’ Dillish Mathews baada ya mwanaume mmoja
aitwaye Abdi Galgayo Guyo kuja hadharani na kudai kuwa ni baba mzazi wa
mshindi huyo wa The Chase.
Siku moja tu iliyopita, Pulse iliandika habari kuhusu mwanaume wa
Kenya aitwaye Abdi Galgayo Guyo aliyetembelea ofisi za Standard Media ya
Kenya na
↧