Kiongozi wa kambi rasmi ya Upinzani Bungeni Mh Mbowe ametolewa nje ya
Bunge, baada ya kukaidi amri ya Naibu spika Mh Ndugai alipomwamuru akae
na Mh Mbowe kutokutii amri hiyo.
Mh ngudai aliamuru askari wa Bunge
kumtoa nje, hata hivyo baadaye wabunge karibu wote wa upinzani walitoka
pia isipokuwa Mh. Augustin Mrema wa TLP.
Upinzani Bungeni unadai muswada
wa katiba 2013 unamapungufu.
↧