Baadhi ya wabunge wa upinzani nchini Kenya wameondoka
bungeni wakati mjadala mkali ukiendelea kuhusu kuunga mkono au kupinga
nchi hiyo kujiondoa kutoka katika mahakama ya kimataifa ya ICC.
Wabunge hao wameondoka bungeni baada ya kusema
kuwa kamwe hawataungana na upande wa serikali kuunga mkono hoja hii ya
kujiondoa kutoka katika mahakama ya ICC.Ni kutokana na
↧