Taarifa kwa mujibu wa ITV — Wanafunzi wawili wa kidato cha kwanza katika
shule ya sekondari Matombo katika wilaya ya Morogoro wamejeruhiwa,
baada ya kulipukiwa na kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu, wakati
wakitoka shuleni.Wanafunzi hao waliojeruhiwa katika sehemu
mbalimbali za miili yao ni Luciani Juma (14) na Anthonia Charles (15),
wakazi wa kijiji cha Konde, Tarafa ya Matombo wilayani
↧