Muigizaji wa filamu za kibongo maarufu kwa jina Jackline Wolper amewaasa waigizaji
wenzake wa kike kuacha kuvaa nguo za nusu uchi kwani ni kinyume na mila
na tamaduni za kitanzania .
Wolper aliyasema hayo
kufuatia kupigiwa kura na kushinda kama muigizaji wa kike mwenye
muonekano wa kistaa...
Akizungumza katika kipindi cha filamu cha Take One
kinachorushwa Clouds Tv , Wolper
↧