Mrembo Yusta Mkali, mkazi wa Kawe, Dar ambaye alikuwa mke wa mtu
anadaiwa kuuawa kwa kutobolewa koromeo na mumewe, Musa Senkando na
kusababisha simulizi ya kutoa machozi kisa kikielezwa kuwa ni wivu wa
kimapenzi.
Polisi wa kituo cha Kawe wakiukagua mwili wa marehemu Yusta.
Mtuhumiwa wa mauaji, Musa Senkando.
Mwili wa marehemu Yusta ukipelekwa kuhifadhiwa katika Hospitali ya
↧