Leo katika interview na baby Madaha ambaye hivi karibuni
amesaini mkataba mnono na kampuni ya Candy n’ Candy Records ya
jijini Nairobi nchini Kenya , Bongomovie.com wameweza kupata mambo matano
ambayo mashabiki wa mwanadada huyu watakuwa hawajui kumhusu yeye.
Katika interview hiyo, baby Madaha ametaja mambo matano ambayo anasema
mashabiki wake wanahitaji kuyafahamu kumhusu yeye.
↧