WAKATI rufaa ya kupinga ubunge wa Mbunge wa Singida Mashariki,
Tundu Lissu (CHADEMA) ikitarajiwa kuanza kusikilizwa katika Mahakama ya
Rufaa Dodoma, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Wakili wake, Godfrey
Wasonga, kimeiomba mahakama hiyo kuifuta kesi hiyo.
Kwa mujibu wa wakili huyo, sababu ya kuomba kufutwa kwa kesi hiyo ni
kutokana na walalamikaji wote kujitoa na kuapa mahakamani kuwa
↧