JESHI la Polisi mkoani Dodoma limeshindwa kumpandisha kizimbani
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (CHADEMA), kwa madai kuwa
upelelezi bado haujakamilika.
Mbilinyi, maarufu kama ‘Sugu’ alifunguliwa jalada na jeshi hilo Ijumaa
iliyopita, akidaiwa kumjeruhi jichoni askari wa Bunge, Koplo Nikwisa
Nkisu.
Akizungumza na waandishi wa habari jana mjini hapa, Wakili wake, Tundu
Lissu,
↧