Rais Jakaya Kikwete amesema wale wote wanaombeza kuhusu utendaji
wake, wataona aibu atakapomaliza muhula wake 2015 huku akiwananga
baadhi ya wanaCCM kwa kushindwa kuyaelezea mafanikio ya Serikali chini
ya chama hicho.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi wa
kusambaza umeme katika mikoa ya Mwanza na Geita unaofadhiliwa na Mfuko
wa Changamoto za Milenia (MCC), Rais Kikwete alisema:
↧