MWANAMKE anayedaiwa kufunga ndoa ya siri na mchekeshaji
mahiri Bongo, Amri Athuman maarufu kama Mzee Majuto au King Majuto,
Rahma Abdallah (20), ameibuka na kudai kutelekezwa na mumewe huyo.
Ndoa hiyo ambayo ilifungwa kwa siri jijini Dar Julai 28, mwaka huu na
kudumu siku 44, inaonekana imevunjika rasmi baada ya Mzee Majuto kutoa
talaka kupitia kwa msanii wa filamu aitwaye Rehema Omary
↧