$ 0 0 Padre Ancelmo Mwang'amba wa Kanisa Katoliki Parokia ya Cheju Zanzibar amemwagiwa tindikali katika mgahawa wa Sun Shine uliopo Mlandege, Zanziabar na kusababishiwa maumivu makali sana. Habari zaidi zitawajia baadaye.<!-- adsense -->