MTUHUMIWA, Manfred Adam anayekabiliwa na kesi ya kutishia kuua katika
hali isiyotarajiwa amelimwaga kojo katika Mahakama ya Mwanzo na kuleta
vurugu kubwa zilizosababisha kuvunjika kwa meza ya Mahakama ya Mwanzo ya
Mazimbu mkoani Morogoro mwanzoni mwa wiki hii.
Katika vurugu hizo
zilizolazimisha shughuli za mahakama kusimama kwa muda wa saa mbili,
askari wawili waliokuwepo eneo la tukio
↧