$ 0 0 Kwa mara nyingine Zanzibar imeshuhudia tukio la kumwagiwa tindikali ambapo watu wasiojulikana wamemwagia tindikali Padri wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mpendae,Padri Anselmo Mwan'gamba <!-- adsense -->