So
Rehema Chalamila aka Ray C na mtangazaji wa kipindi cha Take One cha
Clouds TV, Zamaradi Mketema haziivi? Katika kile kilichoacha wazi midomo
ya watu wengi, warembo hao leo wameingia kwenye vita vya maneno kwenye
mtandao wa Instagram. Alianza Zamaradi aliyepost picha yenye maneno ya mafumbo:
Picha hiyo aliiandikia maneno haya:
Huwezi
amini sikuchukii ila nimezidi kukudharau!!!
↧