WENYEKITI
wa Kamati ya Umoja wa Mashirikisho ya Sanaa Tanzania, Kimela Billa,
ameutaka uongozi wa Shirikisho la Muziki Tanzania, kumchukulia hatua ya
kinidhamu, msanii wa muziki wa mduara Shilole ambaye pia ni muigizaji wa filamu kwa kosa
la kukiuka maadili ya Tanzania katika tamasha la Serengeti Fiesta,
mkoani Iringa.
Shilole
alipanda jukwaani akiwa anacheza wimbo wake wa ‘
↧