WAKATI viongozi mbalimbali wa CHADEMA wakiwasili mjini Dodoma
kuungana na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, katika rufaa ya
kupinga ubunge wake inayoanza kusikilizwa leo, mbunge huyo amekataa
uamuzi CCM kutaka kuifuta kesi hiyo.
Juzi CCM kupitia kwa wakili wake, Godfrey Wasonga, iliwasilisha barua
katika Mahakama ya Rufaa Dodoma na nakala kwa Lissu ikiomba mahakama
hiyo
↧