MKAZI wa Kijiji cha Njoro wilayani Kiteto mkoani Manyara, Mohamed Ally
(42) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi kwa tuhuma za kumbaka
mtoto wake wa kufikia.
Mwendesha Mashitaka wa Polisi, Paulo Kimaro
alidai mahakamani kuwa tukio hilo lilitokea Septemba 9 mwaka huu
nyumbani kwa mtuhumiwa huyo alipombaka mtoto huyo, mwanafunzi wa darasa
la saba.
Alidai siku hiyo mke wake alitoka na
↧