MWENYEKITI Mtendaji wa makampuni ya IPP, Reginald Mengi na
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, wameingia katika
mzozo mzito kuhusu uwekezaji katika sekta ya gesi.
Katika mzozo huo, Mengi amemshambulia Waziri Muhongo kwa kumwita ni
mwongo, mpotoshaji na mwenye lengo la kuwatoa Watanzania kwenye hoja ya
msingi ya rasilimali yao ya gesi.
Mengi alitoa kauli hiyo
↧