Kila
kukicha vita dhidi ya biashara haramu ya dawa za kulevya inazidi
kupamba moto, wakati mataifa mbalimbali yakizidi kuimarisha udhibiti wa
biashara hiyo, na wafanyabiashara hiyo wanazidi kuja na mbinu mpya za
kusafirisha dawa hizo.
Huko
Colombia mwanamke mmoja raia wa Canada amekamatwa uwanja wa ndege akiwa
na tumbo la ujauzito wa bandia ambalo ndani yake alificha kilo
↧