MSANII aliyewahi kutamba
kisha kuporomoka kwa kasi katika tasnia ya filamu nchini Tanzania kwa
sababu ya tabia zake chafu, Irene Uwoya, amefikishwa Kituo cha Polisi
Msimbazi kwa wizi wa simu aina ya iPhone 5.
Kwa mujibu wa habari za kipolisi, mmiliki wa simu hiyo ni mwanamme aliyejulikana kwa jina la Mohammed Marjey, mkazi wa Dar.
Uwoya ambaye siku hizi anajitutumua kwa kuanzisha
↧