Msanii wa Bongo Movie, Rachel Haule ‘Recho’ amejikuta akivuja jasho la furaha baada ya kupima Ukimwi na kujikuta yupo salama.
Tukio hilo lilitokea hivi karibuni maeneo ya Sinza Palestina ambapo
Recho alienda kupima katika Hospitali ya Amen iliyopo Sinza ambapo kabla
hajapata majibu hayo alikuwa akihaha huku na kule kutokana na wasiwasi.
Baada ya vipimo hivyo, Recho alipewa
↧