KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (Chadema), Dk.
Willbroad Slaa, leo anatarajia kuongoza mapokezi makubwa ya kumpokea
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’. Mbunge huyo anafanyiwa
mapokezi hayo, ikiwa ni siku tisa tangu kutokea kwa vurugu kubwa
bungeni, baada ya Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai kuamuru Kiongozi wa
Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, kutolewa
↧