Katibu wa Itikadi na Uendezi wa Chama Cha mapinduzi (CCM),Nape
Nnauye amemtaka Kiongozi wa Upinzani Bungeni,Freeman Mbowe kujiuzulu
nafasi hiyo mara moja kwa sababu ameshindwa kuiongoza kambi hiyo.
Wito huo uliutoa mjini Shinyanga Ijumaa jioni alipokuwa
akihutubia mkutano wa hadhara wa kuhitimisha ziara ya siku Nne ya
Katibu Mkuu wa Chama hicho, Abdulrahman Kinana katika mkoa huo.
↧