Irene Uwoya amejibu mapigo ya kudaiwa kuiba simu aina ya iphone
5 toleo jipya la mwaka huu ambapo habari hiyo iliripotiwa jana katika gazeti la
Risasi na kutawala mitandao mingi ya kijamii.
Katika utetezi wake alioutoa kupitia ukurasa wake instagram, Irene Uwoya amesema kuwa chanzo cha
kuandikwa hivyo ni kuvunjwa nguvu katika harakati zake za kesi
aliyomfungulia Shigongo
↧