Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Hii ni video ya akina mama Wakimlilia sheikh ponda alipofikishwa mahakamani leo

$
0
0
Hatimaye mahakama ya hakimu mkazi Mkoa wa Morogoro imeamua kumnyima dhamana katibu wa jumuiya na taasisi ya kiislamu nchini Sheikh Ponda Issa Ponda anayekabiliwa na mashitaka matatu ambayo ni kutokutii amri halali, kuharibu imani za dini na kushawishi na kutenda kosa... Hii  ni  ripoti  ya  ITV ikiwaonesha  wafuasi  wake  wakiwemo  akina  mama  ambao  walikuwa  wakitokwa  machozi 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>