SHULE ya Sekondari ya Ilboru, jijini Arusha imefungwa kwa muda usiojulikana kuanzia leo baada ya kuwepo hofu ya kuchomwa moto.
Uchunguzi wa madai ya shule hiyo
kuchomwa moto, unaendelea kufanywa huku ikielezwa kwamba wanafunzi wanne
wanahojiwa na polisi wilayani Arumeru ili wasaidie kubaini ukweli juu ya
madai hayo.
Wanafunzi wengine 10 inadaiwa wamepewa barua za kusimamishwa
↧