Serikali kupitia Wizara
ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, imehadharisha mabalozi
wanaowakilisha nchi zao nchini, kuepuka kujihusisha na mambo ya ndani.Hadhari
hiyo imetolewa jana katika taarifa ya wizara hiyo kwa vyombo vya habari,
baada ya Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China, Lu Younqing, kuonekana
katika mkutano wa hadhara wa CCM, akiwa amevalia kofia yenye nembo ya
chama
↧