Wasanii wa Kundi la TMK Wanaume Family Chege na Temba wanatarajia kuanza ziara ya miezi 3 barani Ulaya kuanzia wiki ijayo.
Akizungumza na mwandishi wetu, meneja wa kundi hilo Said Fella amesema leo
ndio wanategemea kupata Visa na wiki ijayo (September 25) Chege na Temba
wataondoka nchini wakielekea nchini Sweeden ambako watafanya show ya
kwanza (October 5).
Temba na Chege
↧