Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Aibu: Mzee wa miaka 95 amuoa mwanaume mwenzake wa miaka 65 huko Marekani

$
0
0
Wanaume wawili wazee ambao ni maaskari wakongwe walioshiriki vita ya pili ya dunia, ijumaa iliyopita (September 13) walifunga ndoa ya jinsia moja (mashoga) baada ya kuwa katika uhusiano kwa miaka 20 kabla ya kufikia uamuzi wa kuoana. John Banvard mwenye miaka 95 alimuoa Gerald Nadeau mwenye miaka 67 huko Diego, California Marekani. Tukio hilo limeonekana kutoungwa mkono na baadhi

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>