Kuna habari ambazo zilianza kusambaa mitandaoni jana kuwa mastaa wa filamu nchini
Chuchu Hans na Blandina Chagula(Johari) wamefumaniana kisa ni muigizaji
mwenzao Vicent Kigosi(Ray).
Inadaiwa kuwa Johari ndiye amemfumania
Chuchu nyumbani kwa Ray maeneo ya Sinza, Dar es salaam na wawili hao
kuanza kufumuana makonde na baadaye Ray kuwahi kuwaamulia kabla mambo
hayajaharibika zaidi.
↧