WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Steven Wassira,
amesema wapinzani wasitarajie tena kukaribishwa Ikulu, kutokana na
msimamo wao wa kususia mjadala wa Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya
Mabadiliko ya Katiba wa mwaka 2013, wakati wa kikao cha Bunge mjini
Dodoma hivi karibuni, kwa majadiliano mengine.
Waziri Wassira, alitoa kauli hiyo siku moja baada ya wasomi,
↧