Ngedere mmoja kwa jina la Sharobaro amekuwa kivutio katika
kambi ya Simba iliyopo kwenye Fukwe za Bamba nje kidogo ya Jiji la Dar,
eneo la Kigamboni, ambapo gazeti la Championi Jumatano lilimshuhudia
ngedere huyo akivinjari katika vyumba vya wachezaji wa timu hiyo na
kucheza na beki wa kikosi hicho, Issa Rashid ‘Baba Ubaya’ lakini baadaye
akakimbia na bukta ya mazoezi ya nyota huyo.Mara
↧