Mmoja kati ya watoto wanaodaiwa kulawitiwa na mwalimu huyo..
SIKU chache baada ya Gazeti la Majira kuandika
habari ya ukatili wa kutisha dhidi ya mwalimu anayedaiwa kuwalawiti
wanafunzi wanne mkoani Iringa, mtuhumiwa huyo amekamatwa na yupo katika
mikono ya polisi.Mwalimu huyo anafundisha katika Shule ya
Sekondari Wanging'ombe, iliyopo Wilaya Mpya ya Wanging'ombe, mkoani
Njombe, Bw.
↧