Vyama vya NCCR-Mageuzi, CUF na Chadema vimeanza kuwasha moto wa katiba
baada ya kuanza kukutana na viongozi wa Jukwaa la Katiba Tanzania ikiwa
ni harakati za kupinga mchakato wa katiba mpya kwa madai kuwa umehodiwa
na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Wenyeviti wa vyama hivyo, James Mbatia (NCCR-Mageuzi), Profesa Ibrahim
Lipumba (CUF) na Freeman Mbowe (Chadema) jana walifika katika ofisi za
↧