Msanii wa Bongo Movie Aisha Bui amefunguka kuwa ameshangazwa
na madai yaliyoenea kuwa amefungwa nchini Brazil baada ya kunaswa na
unga.
Akizungumza na Globalpublishers, Aisha amesema kuwa yeye alimfuata mchumba wake nchini Brazil na
alipoondoka nchini Tanzania aliondoka kimya kimya maana alijua ni lazima
watu watazusha mambo na kumpaka matope ya kumchafua.
"Jamani hayo madai ya
↧