Simu ya kupapasa.
Watafiti wamebaini kuwa baadhi ya vifaa
vya kisasa vya mawasiliano vinavyotumika kwa kupapasa kama tablet
komputa na smart-phones huwa na vijidudu vingi vya uchafu kuliko hata
choo.
Bakteria hao huachwa na watumiaji
wavifaa hivyo kwa kupapasa vioo vya vifaa kama Apple iPads na
Samsung Galaxy tablets kutokana na kutumia bila ya kuosha mikono.
Choo
Moja ya
↧