MTANGAZAJI wa Kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM, Loveness Malinzi
‘Diva’ amesema alichokuwa anahitaji katika sakata lake la kudai ameibiwa
‘idea’ ya Kigoma All Star East Africa Tour na Mhe. Zitto Kabwe ni
kupewa heshima yake (appreciation) tu.
Katika maelezo yake, Diva amefunguka kuwa walijadili na Zitto kuhusu
idea hiyo lakini badala yake akashangaa mheshimiwa anampotezea katika
↧