WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli amesema kuwa anafurahishwa na salamu
ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kwa kuwa kila neno
katika salamu hiyo lina maana na linaashiria ushindi.
Magufuli ameyasema
hayo wakati akizungumza na viongozi wa sekta ya miundombinu ya barabara
wa Mkoa wa Iringa, katika kikao kilichofanyika katika ukumbi wa ofisi
za Mkuu wa Mkoa huo, Dk. Christine
↧