Shehena ya samaki
tani 22.5 kutoka nchini China wanaodaiwa kuharibika na kutokuwa salama
kwa matumizi ya binadamu wamekutwa katika eneo la Tabata Bima jijini
dar es salaam huku baadhi ya samaki hao wakiwa tayari wamekwishaingizwa sokoni
kwa kuuzwa.
Baada
ya kuwepo kwa fununu za uingizwaji wa samaki waodaiwa kuharibika kutoka
nje ya nchi na kuingia hapa nchini na kuatarisha maisha
↧