Msanii
mwingine anaefanya vyema hivi sasa katika anga ya muziki wa
Bongofleva,Rich Mavoko akiwaimbisha mashabiki wake usiku huu,mbele ya
wakazi wa mji wa musoma waliojitokeza kwa wingi kwenye tamasha la
Serengeti Fiesta 2013,ndani ya uwanja wa Karume mkoani Mara.
Madansa
wa msanii wa muziki wa kizazi kipya,Shilole wakitumbuiza jukwaani usiku
huu ndani ya Uwanja wa Karume,ndani ya mji
↧