Kanye West ametoa video yake ya Bound 2 kwa mara ya kwanza alivyoenda kwenye show ya Ellen ambapo video model wa video hiyo ni Kim Kardashian na kama unakumbuka zilitoka story kwamba Kim amefanya hiyo video akiwa Uchi wa mnyama na kuongeza hamu ya watu wengi kuisubiiri..
Ili kuyaona mapicha hayo pamoja na video hiyo, bofya hapo chini
<< PICHA NA VIDEO ZIKO HAPA >>
↧