Msanii
wa filamu Kajala Masanja atahukumiwa upya Novemba 25 mwaka huu baada
ya mumewe kukata rufaa.
Kesi iliyokuwa ikiwakabili wanandoa hao ilihusiana na utakatishaji wa
fedha haramu uliofanywa na mume wa Kajala wakati akifanya kazi kwenye
Benki ya NBC, Dar.
Habari za ndani zinaarifu kuwa, Kajala alisharidhika na hukumu
iliyotolewa Machi 25, mwaka huu ambapo yeye alitakiwa
↧