Ni hivi karibuni, Mji wa Geita na maeneo jirani ulikubwa na
taharuki ya aina yake,pale mtoto Shabani Maulid (15) anaedaiwa kwamba
alifariki dunia miaka miaka mitatu iliyopita, alipoonekana akiwa hai
katika Kijiji cha 14 Kambarage, Mtaa wa Mbugani.
Tukio hilo lilizua hofu kwa wakazi wa Mji wa Geita
huku waliowengi wakitaka kujua mtoto huyo aliyekutwa
↧