Mwanamziki mkongwe wa Hip hop na Bongo Fleva,
ambaye pia ni mfalme wa Rymes, Selemani Msindi (Afande Sele), jana amejiunga rasmi na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)
baada ya kukabidhiwa kadi ya chama hicho na Powell Mfinanga wakati wa
mkutano mkubwa uliofanyika katika kata ya Mafiga na Misufini mkoani
Morogoro...
Muda mfupi kabla ya mkutano huo kuanza, Afande Sele
↧