Serikali ya Kenya imelaani uamuzi uliotolewa na Baraza la
Usalama la Umoja wa Mataifa (UN) wa kutupilia mbali ombi la Umoja wa
Afrika (AU) kutaka kesi zinazowakabili viongozi wakuu wa nchi hiyo
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) zisitishwe.
Katika kujadiliwa kwa suala hilo, nchi nane
wanachama wa Baraza la Usalama la UN zikiwemo Uingereza, Ufaransa,
Marekani, pia nchi wanachama
↧