SAKATA la Mbunge wa Urambo Magharibi, Prof. Juma Kapuya (CCM) kudaiwa
kumbaka mwanafunzi na kumtishia kumuua, linazidi kuchukua sura mpya
ambapo Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Said Mwema na Wizara ya
Jamii, Jinsia na Watoto wamengilia kati.
Jana gazeti la Tanzania Dama liliripoti kauli ya Kamishna wa Polisi Kanda Maalumu
ya Dar es Salaam, Suleiman Kova kuwa watamchukulia
↧